• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Mafunzo ya awali kwa Askari wapya wa JWTZ kundi la 41/22 yafungwa

Mafunzo ya awali kwa Askari wapya wa JWTZ kundi la 41/22 yafungwa Posted On: Friday, 30th September 2022

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob Mkunda amefunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa Askari wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kundi la 41/22 katika Shule ya Mafunzo ya awali ya kijeshi Kihangaiko kwa Gwaride rasmi lililoandaliwa kwa ajili yake.

Mara baada ya kukagua Gwaride, Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob John Mkunda aliwaasa Askari wapya kuishi kwa kuzingatia viapo vyao vya utii kwani ndio msingi katika kutimiza majukumu yao mapya ya kulilinda taifa la Tanzania.

Aidha, Jenerali Mkunda amewataka Askari wapya kutunza afya zao, pamoja na kuendelea kufanya mafunzo na mazoezi ili kuwa na utayari wakati wowote.

Sherehe za ufungwaji wa kozi hiyo zimepambwa na maonesho mbalimbali ya utendaji kivita, kuruka vikwazo, matumizi ya silaha pamoja na kujilinda dhidi ya adui.

Habari Mpya

  • NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    tokea wiki 2
  • Rais Samia Suluhu Hassan atunuku Kamisheni

    Rais Samia Suluhu Hassan atunuku Kamisheni

    tokea miezi 3
  • Waziri Mhe. Bashungwa atembelea zoezi Dragon Fly

    Waziri Mhe. Bashungwa atembelea zoezi Dragon Fly

    tokea miezi 5
  • Zoezi Dragon Fly lafunguliwa

    Zoezi Dragon Fly lafunguliwa

    tokea miezi 5
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 6
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 6
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 6
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miezi 6
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.