Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Yacoub Mohamed atembelea mradi mkubwa wa kilimo cha Mpunga katika kikosi cha Chita JKT .
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo anasikitika kutangaza kifo cha Afisa Mkuu Brigedia Jenerali Stephen Ndazi Makala (Mstaafu).
Soma zaidiMkuu wa Majeshi nchini Jenerali Venance Mabeyo ametembelea na kuzungumza na Maafisa na Askari wa Kanda ya Mwanza.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo anasikitika kutangaza kifo cha Afisa Mkuu Brigedia Jenerali Ezra Wilson Ndimgwango (Mstaafu)
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania Jenerali Venance Salvatory Mabeyo anasikitika kutangaza vifo vya Maafisa wa JWTZ
Soma zaidiMkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo leo tarehe 17 Disemba, 2020 ameongea na Maafisa na Askari wa Kikosi cha Ndege za Usafirishaji kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiKampuni ya Kimataifa ya Simba International leo tarehe 17 Disemba, 2020 imemkabidhi Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhandisi Elias John Kwandikwa Hanga.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo leo Disemba 11, 2020 amefanya ziara na kukutana na mwenyeji wake Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mhandisi Elias John Kwandikwa (mb) .
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.