• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Zoezi Ushirikiano Imara 2018 lafungwa rasmi jijini Tanga

    Zoezi Ushirikiano Imara 2018 lafungwa rasmi jijini Tanga

    tokea miaka 5

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi (Mbunge) leo tarehe 16 Novemba amefunga rasmi zoezi la Kijeshi la Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki liitwalo Ushirikiano Imara 2018, Mlingano jijini Tanga.

    Soma zaidi
  • JWTZ laanza rasmi kutekeleza agizo la Amiri Jeshi Mkuu

    JWTZ laanza rasmi kutekeleza agizo la Amiri Jeshi Mkuu

    tokea miaka 5

    Hatimaye malori ya JWTZ yameanza rasmi safari ya kuelekea mikoa ya Kusini na Pwani katika kutekeleza agizo la Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli

    Soma zaidi
  • Rais Magufuli atembelea Kikosi cha  Usafirishaji cha JWTZ

    Rais Magufuli atembelea Kikosi cha Usafirishaji cha JWTZ

    tokea miaka 5

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli amefanya ziara fupi katika kikosi cha Usafishaji cha JWTZ.

    Soma zaidi
  • Zoezi Ushirikiano Imara 2018 lafunguliwa rasmi jijini Tanga

    Zoezi Ushirikiano Imara 2018 lafunguliwa rasmi jijini Tanga

    tokea miaka 5

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi (Mbunge) amefungua rasmi zoezi la Medani la Majeshi ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki lijulikanalo “Ushirikiano Imara 2018” leo Mlingano, jijini Tanga.

    Soma zaidi
  • Mhe. Paul Makonda akabidhi mabasi JWTZ

    Mhe. Paul Makonda akabidhi mabasi JWTZ

    tokea miaka 5

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amekabidhi mabasi makubwa idadi tatu kwa JWTZ na basi moja dogo kwa Jeshi la Magereza baada ya magari hayo kufanyiwa ukarabati na kampuni ya Dar Coach Ltd iliyopo jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • Mafunzo Ya Ngumi Na Mpira Wa Kikapu Yafungwa Rasmi

    Mafunzo Ya Ngumi Na Mpira Wa Kikapu Yafungwa Rasmi

    tokea miaka 5

    ​​Mafunzo ya Makocha wa mchezo wa Ngumi na Mpira wa Kikapu yaliyokuwa yakiendeshwa kwa Makocha wa JWTZ yamefungwa rasmi tarehe 01 Februari 2018 kwenye Kambi ya JKT Mgulani.

    Soma zaidi
  • ​JWTZ laendelea kujizatiti na Majanga

    ​JWTZ laendelea kujizatiti na Majanga

    tokea miaka 5

    ​Jeshi la Ulinzi la Wananchi la Tanzania linaendelea kujizatiti dhidi ya majanga yanayoikumba dunia kwa hivi sasa ikiwemo, ugaidi,uharamia,na maafa mengine.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mabeyo awakaribisha nyumbani Maafisa na Askari

    Jenerali Mabeyo awakaribisha nyumbani Maafisa na Askari

    tokea miaka 5

    Jenerali Venance Salvatory Mabeyo amewakaribisha nyumbani Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kundi la Tano la Ulinzi wa Amani (TANZBATT-5)

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • ...
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • ...
  • 26
  • 27
  • ›

Habari Mpya

  • Rais Dkt. Samia atunuku Kamisheni

    Rais Dkt. Samia atunuku Kamisheni

    tokea wiki 3
  • Askari wapya wahitimu Mafunzo Kihangaiko

    Askari wapya wahitimu Mafunzo Kihangaiko

    tokea mwezi 1
  • Waziri wa Ulinzi na JKT asisitiza mafunzo maalum

    Waziri wa Ulinzi na JKT asisitiza mafunzo maalum

    tokea miezi 2
  • Wananchi watakiwa kurejesha Sare za Majeshi

    Wananchi watakiwa kurejesha Sare za Majeshi

    tokea miezi 3
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 7
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 7
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 7
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea mwaka 1
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.