Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi (Mbunge) leo tarehe 16 Novemba amefunga rasmi zoezi la Kijeshi la Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki liitwalo Ushirikiano Imara 2018, Mlingano jijini Tanga.
Soma zaidiHatimaye malori ya JWTZ yameanza rasmi safari ya kuelekea mikoa ya Kusini na Pwani katika kutekeleza agizo la Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli amefanya ziara fupi katika kikosi cha Usafishaji cha JWTZ.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi (Mbunge) amefungua rasmi zoezi la Medani la Majeshi ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki lijulikanalo “Ushirikiano Imara 2018” leo Mlingano, jijini Tanga.
Soma zaidiMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amekabidhi mabasi makubwa idadi tatu kwa JWTZ na basi moja dogo kwa Jeshi la Magereza baada ya magari hayo kufanyiwa ukarabati na kampuni ya Dar Coach Ltd iliyopo jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiMafunzo ya Makocha wa mchezo wa Ngumi na Mpira wa Kikapu yaliyokuwa yakiendeshwa kwa Makocha wa JWTZ yamefungwa rasmi tarehe 01 Februari 2018 kwenye Kambi ya JKT Mgulani.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi la Tanzania linaendelea kujizatiti dhidi ya majanga yanayoikumba dunia kwa hivi sasa ikiwemo, ugaidi,uharamia,na maafa mengine.
Soma zaidiJenerali Venance Salvatory Mabeyo amewakaribisha nyumbani Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kundi la Tano la Ulinzi wa Amani (TANZBATT-5)
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.