Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu kutoka nchini India Jenerali Bipin Rawat ambaye yuko nchini kwa ziara ya kikazi mapema leo amepokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo amefanya ziara mkoani Ruvuma na Lindi kwa kuvitembelea maghala makuu ya kuhifadhia Korosho
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini Madaktari wa Binadamu na fani nyingine za Tiba.
Soma zaidiUjumbe kutoka Jeshi la Ukombozi la Watu wa China ukiongozwa na Kamisaa wa Siasa katika Idara ya Vifaa, Meja Jenerali Ma Kui umewasili nchini kwa ziara ya kikazi
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo amefanya ziara maalum ya kikazi mkoani Rukwa, ambapo leo tarehe 21 Novemba amevitembelea vikundi vya JWTZ vilivyopo pembezoni mwa Ziwa Tanganyika.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT ) Dkt Hussein Mwinyi (MB) leo amewasili rasmi Mkoani Mtwara katika moja ya ziara yake kuona maendeleo ya Operesheni Korosho
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi (Mbunge) leo tarehe 16 Novemba amefunga rasmi zoezi la Kijeshi la Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki liitwalo Ushirikiano Imara 2018, Mlingano jijini Tanga.
Soma zaidiHatimaye malori ya JWTZ yameanza rasmi safari ya kuelekea mikoa ya Kusini na Pwani katika kutekeleza agizo la Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.