Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt John Pombe Magufuli ametunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi.
Soma zaidiKikundi cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kinachoshiriki Ulinzi wa Amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kimeshambuliwa kwa kushtukizwa na kundi la waasi la Siriri katika kijiji cha Dilapoko Kusini Magharibi mwa nchi hiyo tarehe 03 Juni, 2018.
Soma zaidiTarehe 29 Mei ni siku ya Walinda Amani ambayo huadhimishwa kila mwaka Duniani kote. Kauli mbiu ya Maadhimisho kwa mwaka huu ni “Ulinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa: Miaka 70 ya Huduma na Kujitoa”.
Soma zaidiMashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi ‘CDF CUP’ 2018 yamefungwa rasmi leo Mei 18, 2018 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo
Soma zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 17, 2018 amezindua Kituo cha Uwekezaji cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Soma zaidiWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe (MB), tarehe 18 May 2018 amefungua rasmi mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF CUP) 2018 katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiMsemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Kanali Ramadhani Dogoli amezungumzia ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF CUP) utakaofanyika kesho tarehe 8 Mei, 2018 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiMkutano wa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu ushirikiano katika Nyanja ya ulinzi umefanyika Jijini Arusha. Mkutano huo umejadili masuala mbalimbali ili kudumisha ushirikiano.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.