Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo ametoa salamu za mwaka mpya kwa Wanajeshi wote nchini kupitia watendaji wa Makao Makuu ya JWTZ, Upanga jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga rasmi Miili ya Askari wake waliouwawa nchini DRC leo
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linategemea kuaga Miili ya Mashujaa wetu waliouwawa wakiwa katika Jukumu la Ulinzi wa Amani nchini DRC hivi karibuni.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokea miili ya mashujaa 14 wa Jeshi hilo waliouwawa wakiwa katika Jukumu la Ulinzi wa Amani nchini DRC hivi karibuni.
Soma zaidiRais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli amehutubia mamia ya watanzania leo wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania bara zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Soma zaidiMkuu wa Tawi la Mafunzo na Utendaji Kivita Jeshini Brigedia Jenerali Alfred Kapinga ameongea na vyombo vya habari leo kuhusu zoezi la Ushirikiano Imara (CP EXERCISE) linalohusisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwemo Burundi, Kenya,Rwanda,Tanzania na Uganda.
Soma zaidiMajenerali 18 wa JWTZ waliostaafu kwa tarehe tofauti mwaka huu, waagwa rasmi leo katika sherehe iliyofanyika kwenye Kambi ya Twalipo Mgulani jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiUjumbe kutoka Jeshi la Jamhuri ya Watu wa China ukiongozwa na Naibu Mnadhimu Mkuu Real Admiral Guan Bailin uliowasili na meli maalum ya matibabu nchini Novemba 19, 2017 leo Novemba 22 umemtembelea Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo na kufanya mazungumzo ofisini kwake.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.