Jeshi la Ulinzi la Wananchi la Tanzania linaendelea kujidhatiti dhidi ya majanga yanayoikumba dunia kwa hivi sasa ikiwemo, ugaidi,uharamia,na maafa mengine.
Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Tawi la Oparesheni na Mafunzo Kivita Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam Meja Jenerali Alfred Fabian Kapinga amesema kuwa nchi za Afrika Mashariki zitakuwa na Zoezi la pamoja mkoani Tanga liitwalo Ushirikiano Imara.
Aidha amesema kuwa zoezi hilo linatarajia kuanza tarehe tano mwezi ujao na kufungwa rasmi tarehe 21 mwezi huo huo mwaka huu.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.