Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uzinduzi wa Vizimba 9 na Mabwawa 18 ya Samaki aina ya Sato yanayomilikiwa na Kikosi cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Mjini Musoma tarehe 6 Septemba 18
Soma zaidiZoezi la Utulivu Africa IV CPX 2018 ambalo lilifanyika kwa muda usiopungua siku kumi tangu kuanza kwake leo tarehe 03 Septemba 18 limefungwa rasmi na Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Uganda Mh. Lt col (rtd) Charles Engola katika viwanja vya Gadafi Jinja nchini Uganda
Soma zaidiMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika juhudi zake za kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali nchini hususan Jiji la Dar es salaam nakutaka kuendelezwa juhudi hizo ili kutokomeza maradhi ya maambukizi nchini.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania leo tarehe 24 Agosti 2018 limewaaga Majenerali waliostaafu utumishi jeshini.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mh. Dkt. Hussein Mwinyi akabidhiwa ukuta wenye urefu wa kilomita 14.4, unaozunguka uwanja wa ndegevita ulioko Ngerengere Mkoani Morogoro .
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga rasmi Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Joseph Lesulie (mstaafu) leo tarehe17 Agosti, 2018 katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga rasmi Mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Harold Mziray (mstaafu) leo tarehe14 Agosti, 2018 katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo.
Soma zaidiWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMh. Kassimu Majaliwatarehe 13 Agosti, 2018 alifungua rasmi kozi fupi ya tano ya uongozi katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.