Kikao hicho hufanyika kila mwaka kwa mzunguko ndani ya nchi mwananchama ambapo mwaka huu kimefanyika nchini Tanzania, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo alikuwa mwenyekiti wa kikao hicho.
Soma zaidiSherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimefanyika tarehe 26 Aprili 2017 mjini Dodoma mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Soma zaidiHivi karibuni Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania Mhe:Dkt John Pombe Joseph Magufuli amezindua uwanja wa ndege vita uliopo Mkoani Morogoro.
Soma zaidiHafla ya kuapishwa Jenerali Venance Mabeyo ilifanyika ikulu Dar es salaam. Sambamba na kuapishwa Mkuu wa Majeshi pia ameapishwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali James Aloyce Mwakibolwa kushika wadhifa huo uliokuwa unashikiliwa na Jenerali Venance Mabeyo.
Soma zaidiMkuu wa jeshi la Lesotho, luteni Jenerali Tlali Kamoli na ujumbe wake, ametembelea Makao Makuu ya Jeshi ikiwa ni jitihada ya kudumisha uhusiano kati ya nchi mbili hizi.
Soma zaidiMkuu wa Jeshi la Anga la Zimbabwe luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri atembelea Makao Makuu ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam
Soma zaidi​Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt.John Pombe Magufuli amefunga maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kushuhudia zoezi la medani liitwalo ''Amphibious Landing'' lililofanyika siku ya Ijumaa tarehe 30 Septemba katika Kijiji cha Baatini Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.