Ujumbe kutoka Jeshi la Ukombozi la Watu wa China ukiongozwa na Kamisaa wa Siasa katika Idara ya Vifaa, Meja Jenerali Ma Kui umewasili nchini kwa ziara ya kikazi ambapo leo Desemba 7, 2018 amefanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam.
Ziara hiyo imelenga kudumisha Uhusiano baina ya Tanzania na China hasa katika nyanja ya Ulinzi na Usalama.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.