• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Amiri Jeshi Mkuu aongoza sherehe za miaka 58 ya Uhuru

    Amiri Jeshi Mkuu aongoza sherehe za miaka 58 ya Uhuru

    tokea miaka 6

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli leo aliungana na watanzania katika sherehe ya kuadhimisha miaka 58 ya Uhuru.

    Soma zaidi
  • Rais Dkt. John Magufuli azindua Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Rais Dkt. John Magufuli azindua Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    tokea miaka 6

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Magufuli leo tarehe 25 Novemba 2019 amezindua rasmi jiwe la msingi la ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Kikombo kilichopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.

    Soma zaidi
  • JWTZ yaanza kutoa huduma ya matibabu ya Figo

    JWTZ yaanza kutoa huduma ya matibabu ya Figo

    tokea miaka 6

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi (MB) leo tarehe 23 Oktoba 2019 amefungua rasmi kitengo kipya cha matibabu cha kusafisha figo (Dialysis)

    Soma zaidi
  • Ziara ya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama

    Ziara ya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama

    tokea miaka 6

    Mwenyekiti wa Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo

    Soma zaidi
  • HAPPY BIRTHDAY JWTZ

    HAPPY BIRTHDAY JWTZ

    tokea miaka 6

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limetimiza miaka hamsini na tano (55) tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964. Sherehe hizi hufanyika kila mwaka baada JWTZ kuchukua nafasi ya Jeshi lililokuwa limeanzishwa na Mkoloni likiitwa Tanganyika Riffle.

    Soma zaidi
  • Magdalena Shauri awaduwaza Wakenya

    Magdalena Shauri awaduwaza Wakenya

    tokea miaka 6

    Ama kweli Kutangulia siyo kufika na Riziki ya Mja haipotei bali huja kwa wakati autakao Mola,

    Soma zaidi
  •                               TANZANIA YAENDELEZA UBABE KWA KENYA

    TANZANIA YAENDELEZA UBABE KWA KENYA

    tokea miaka 6

    Takribani ni mwezi mmoja umepita sasa toka Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imeitoa Harambee Stars

    Soma zaidi
  • Tanzania yailaza Burundi 7-3

    Tanzania yailaza Burundi 7-3

    tokea miaka 6

    Timu ya Mpira wa Miguu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • ...
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • ...
  • 33
  • 34
  • ›

Habari Mpya

  • Dr Nyamsaho atembelea Makao Makuu ya Jeshi

    Dr Nyamsaho atembelea Makao Makuu ya Jeshi

    tokea siku 5
  • Rais Samia atunuku Kamisheni

    Rais Samia atunuku Kamisheni

    tokea wiki 2
  • Rais Samia ala Kiapo

    Rais Samia ala Kiapo

    tokea mwezi 1
  • JWTZ Laadhimisha UN DAY Lebanon

    JWTZ Laadhimisha UN DAY Lebanon

    tokea mwezi 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 9
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 9
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 9
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 3
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.