• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Rais wa Malawi apokewa na mwenyeji wake Dkt. John Magufuli.

Rais wa Malawi apokewa na mwenyeji wake Dkt. John Magufuli. Posted On: Wednesday, 7th October 2020

Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera leo tarehe 07 Oktoba 2020 amefanya ziara ya kikazi ya siku mbili nchini ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Dkt. John Pombe Magufuli katika Kiwanja cha ndege cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kupigiwa mizinga 21 pamoja na kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.

Wakati wa ziara hiyo, Rais huyo atatembelea kituo kipya cha Mabasi yaendayo Mikoani kinachojengwa eneo la Mbezi na kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa kituo hicho. Aidha, atatembelea pia bandari ya Dar es Salaam na kujionea namna inavyofanya kazi. Katika ziara hiyo Rais Dkt. Lazarus Chakwera ameambatana na viongozi wengine wa Serikali yake.

Hii ni ziara yake ya kwanza tangu aingie madarakani ikiwa na lengo la kuimarisha ushirikiano na uhusiano baina ya nchi hizi mbili. Ikumbukwe kuwa Rais Chakwera ameingia madarakani mwezi Juni mwaka huu akipokea kijiti cha uongozi kutoka kwa mtangulizi wake Dkt. Bingu wa Mutharika.

Habari Mpya

  • ​Tanzania yatiliana saini na Serikali ya Ujerumani

    ​Tanzania yatiliana saini na Serikali ya Ujerumani

    tokea siku 6
  • Jenerali Venance Mabeyo afanya ziara Shinyanga

    Jenerali Venance Mabeyo afanya ziara Shinyanga

    tokea wiki 1
  • Waziri wa Ulinzi na JKT aipongeza Serikali ya UAE

    Waziri wa Ulinzi na JKT aipongeza Serikali ya UAE

    tokea wiki 1
  • TANZIA

    TANZIA

    tokea wiki 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 4
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 4
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 4
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 4
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 9203 Dar es Salaam,
Street :Magore, Upanga
Fax : +255 22 2153432
Tel : +255 22 2150592- 4
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.