Wanafunzi wa chuo cha “The National Institute of Policy and Strategic Studies (NIPSS)” kutoka nchini Nigeria wamekitembelea kituo cha uwekezaji kilichopo Ubungo External jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kimafunzo.
Wanafunzi hao wamewasili nchini Tanzania kujifunza namna Tanzania inavyokabiliana na ongezeko la watu na uendelezaji wa rasilimali watu. Aidha katika ziara hiyo wametembelea maeneo mbalimbali ikiwemo Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC) kilichopo Kunduchi jijini Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 9203 Dar es Salaam,
Street :Magore, Upanga
Fax : +255 22 2153432
Tel : +255 22 2150592- 4
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.