• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Waziri Mkuu afungua rasmi Kozi ya Uongozi, NDC

    Waziri Mkuu afungua rasmi Kozi ya Uongozi, NDC

    tokea miaka 4

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMh. Kassimu Majaliwatarehe 13 Agosti, 2018 alifungua rasmi kozi fupi ya tano ya uongozi katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • JWTZ latangaza nafasi kwa Madaktari

    JWTZ latangaza nafasi kwa Madaktari

    tokea miaka 4

    ​Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi kwa wataalamu wa Tiba watakaotoa huduma za afya katika hospitali, vituo vya afya na zahanati za Jeshi hilo.

    Soma zaidi
  • Mkuu wa Utumishi Jeshini awataka wahitimu kutii kiapo chao

    Mkuu wa Utumishi Jeshini awataka wahitimu kutii kiapo chao

    tokea miaka 4

    Mkuu wa Utumishi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Jenerali Blasius Masanja leo Julai 28,2018 amefunga rasmi mafunzo ya kuruti kundi maalumu la pili.

    Soma zaidi
  • ​Waziri wa Ulinzi na JKT atunuku Wahitimu katika Chuo cha Ulinzi wa Taifa

    ​Waziri wa Ulinzi na JKT atunuku Wahitimu katika Chuo cha Ulinzi wa Taifa

    tokea miaka 4

    Waziri wa Ulinzi na JKT Dkt. Hussein Mwinyi leo Julai 28, 2018 amewatunuku nembo ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania na vyeti kwa ngazi ya Stashahada na Shahada ya Uzamili ya Usalama na Stratejia

    Soma zaidi
  • Siku ya Mashujaa yaadhimishwa Tanzania

    Siku ya Mashujaa yaadhimishwa Tanzania

    tokea miaka 4

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) leo Julai 25,2018 limeadhimisha kumbukizi ya siku ya mashujaa kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii nchini kote.

    Soma zaidi
  • JWTZ kuadhimisha Siku ya Mashujaa kwa kutoa huduma za kijamii

    JWTZ kuadhimisha Siku ya Mashujaa kwa kutoa huduma za kijamii

    tokea miaka 4

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) litaadhimisha Siku ya Mashujaa kwa kutoa huduma za kijamii maeneo mbalimbali nchini kesho tarehe 25 Julai, 2018

    Soma zaidi
  • JWTZ yakanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni

    JWTZ yakanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni

    tokea miaka 4

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mtoto aliyepatiwa matibabu ya kuvunjika mkono katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo.

    Soma zaidi
  • Rais na Amiri Jeshi Mkuu atunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi.

    Rais na Amiri Jeshi Mkuu atunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi.

    tokea miaka 4

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt John Pombe Magufuli ametunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi.

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • ...
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • ...
  • 25
  • 26
  • ›

Habari Mpya

  • Mkutano wa Wakuu wa Rasilimali Watu wa Jeshi wa Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC).

    Mkutano wa Wakuu wa Rasilimali Watu wa Jeshi wa Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC).

    tokea wiki 2
  • Zoezi KAA TAYARI lafungwa

    Zoezi KAA TAYARI lafungwa

    tokea wiki 2
  • Mnadhimu Mkuu JWTZ Afungua Kikao cha Wakuu wa Tiba kwa Majeshi nchi za SADC

    Mnadhimu Mkuu JWTZ Afungua Kikao cha Wakuu wa Tiba kwa Majeshi nchi za SADC

    tokea mwezi 1
  • NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    tokea miezi 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 6
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 6
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 6
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miezi 8
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.