• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

JWTZ lawaaga Majenerali wake tisa

JWTZ lawaaga Majenerali wake tisa Posted On: Saturday, 3rd August 2019

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewaaga Majenerali wake 9 baada ya kustaafu rasmi kwa heshima kwa kutimiza umri wa lazima wa kustaafu utumishi Jeshini.

Majenerali hao wastaafu wameagwa kwa Gwaride rasmi lililofanyika katika viwanja vya Kambi ya Jeshi ya Jenerali Abadallah Twalipo iliyopo Mgulani jijini Dar es Salaam.

Sherehe hizo zilihudhuriwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania pamoja na baadhi ya viongozi wengine waliostaafu Jeshini kwa kipindi cha nyuma, akiwemo aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali James Mwakibirwa.

Aidha, baada ya hapo, walisindikizwa na gwaride lililoandaliwa rasmi kwa ajili yao, huku wakisukumwa kwenye Magari kama tendo la kuashiria kuwasindikiza kwa kuwa wamemaliza utumishi wao kwa heshima na salama.

Habari Mpya

  • ​Tanzania yatiliana saini na Serikali ya Ujerumani

    ​Tanzania yatiliana saini na Serikali ya Ujerumani

    tokea wiki 1
  • Jenerali Venance Mabeyo afanya ziara Shinyanga

    Jenerali Venance Mabeyo afanya ziara Shinyanga

    tokea wiki 1
  • Waziri wa Ulinzi na JKT aipongeza Serikali ya UAE

    Waziri wa Ulinzi na JKT aipongeza Serikali ya UAE

    tokea wiki 1
  • TANZIA

    TANZIA

    tokea wiki 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 4
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 4
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 4
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 4
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 9203 Dar es Salaam,
Street :Magore, Upanga
Fax : +255 22 2153432
Tel : +255 22 2150592- 4
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.