Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo leo Disemba 11, 2020 amefanya ziara na kukutana na mwenyeji wake Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mhandisi Elias John Kwandikwa (mb) ofisini kwake Makao Makuu ya Wizara yaliyopo mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.
Pamoja na kujitambulisha, Jenerali Venance Mabeyo amempongeza Mhe, Elias Kwandikwa kwa kuteuliwa na Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Ulinzi na JKT.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.