• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

JWTZ LAPATA MNADHIMU MKUU MPYA

JWTZ LAPATA MNADHIMU MKUU MPYA Posted On: Saturday, 21st August 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 21 Agosti, 2021 amempandisha cheo Meja Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Luteni Jenerali na kumteua kuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania.

Luteni Jenerali Mathew Mkingule anachukua nafasi ya aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi hayo, Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed aliyeteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki. Kabla ya uteuzi huo Luteni Jenerali Mathew Mkingule alikuwa Mkuu wa Tawi la Udhibiti Fedha Jeshini.

Sambamba na uteuzi huo, pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwaapisha Mabalozi wateule akiwemo Luteni Jenerali Yacoub Mohamed.

Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo.

Habari Mpya

  • Mkutano wa Wakuu wa Rasilimali Watu wa Jeshi wa Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC).

    Mkutano wa Wakuu wa Rasilimali Watu wa Jeshi wa Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC).

    tokea wiki 2
  • Zoezi KAA TAYARI lafungwa

    Zoezi KAA TAYARI lafungwa

    tokea wiki 2
  • Mnadhimu Mkuu JWTZ Afungua Kikao cha Wakuu wa Tiba kwa Majeshi nchi za SADC

    Mnadhimu Mkuu JWTZ Afungua Kikao cha Wakuu wa Tiba kwa Majeshi nchi za SADC

    tokea mwezi 1
  • NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    tokea miezi 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 6
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 6
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 6
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miezi 8
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.