• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

JWTZ Latuma Salamu za Rambirambi kwa Wakenya

JWTZ Latuma Salamu za Rambirambi kwa Wakenya Posted On: Wednesday, 27th April 2022

Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Methew Mkingule kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo, tarehe 27 Aprili, 2022 ametoa salamu za rambirambi kwa Wakenya wote kwa kufiwa na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu, Mhe. Mwai Kibaki aliyefariki hivi karibuni.

Luteni Jenerali Mkingule alifika katika Ubalozi wa Kenya hapa nchini uliopo Jijini Dar es Salaam na kusaini kitabu cha maombolezo kilichopo Ubalozini hapo.

Mnadhimu Mkuu kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Maafisa na Askari wa JWTZ alitoa pole kwa Wanajeshi na raia wa Kenya kwa kufiwa na kiongozi huyo.

Habari Mpya

  • Ngome yazidi kung'ara BAMMATA

    Ngome yazidi kung'ara BAMMATA

    tokea siku 5
  • Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi  Shule ya Polisi Jeshi Mafinga

    Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Shule ya Polisi Jeshi Mafinga

    tokea siku 5
  • Mashindano ya BAMMATA yazinduliwa

    Mashindano ya BAMMATA yazinduliwa

    tokea wiki 1
  • Mkuu wa Majeshi ya UAE afanya Ziara Tanzania

    Mkuu wa Majeshi ya UAE afanya Ziara Tanzania

    tokea miezi 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 3
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.