Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo (mstaafu) ameagwa rasmi kwa gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake.
Gwaride hilo lilifanyika kwenye viwanja vilivyoko Twalipo Mgulani Jijini Dar es salaam.
Mbali na Jenerali Venance Salvatory Mabeyo (mstaafu) pia limefanyika gwaride la kuwaaga aliyekuwa Mnadhimu Mkuu Luteni Jenerali Yacoub Mohamed Mstaafu, Meja Jenerali Jacob Gideon Kingu, Meja Jenerali John Julius Mbungo, Meja Jenerali Ramadhan Rama Mrangira, Brigedia Jenerali Victor Mwita Kisiri, Brigedia Jenerali Athanas Ntungabaingwa Mbonye na Brigedia Jenerali Gundavano Kivamba.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.