• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Rais Dkt. Samia awaongoza Watanzania kuwaenzi Mashujaa

Rais Dkt. Samia awaongoza Watanzania kuwaenzi Mashujaa Posted On: Tuesday, 25th July 2023

Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dokta Samia Suluhu Hassan amewaongoza Watanzania katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika viwanja vya Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma.

Katika maadhimisho hayo Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dokta Samia Suluhu Hassan ameweka Mkuki na Ngao kwenye Mnara wa Mashujaa ikiwa ni ishara ya kuwaenzi Mashujaa wa nchi hii.

Mbali na Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuweka Mkuki na Ngao pia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda aliweka Sime ikiwa ni ishara ya kuwaenzi Mashujaa wa Tanzania.

Maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa hufanyika kila tarehe 25 Julai ya kila Mwaka ikiwa ni kuwaenzi Mashujaa waliomwaga damu kwa ajili ya taifa lao.

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea siku 5
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 1
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 1
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.