• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Waziri wa Ulinzi na JKT asisitiza mafunzo maalum

Waziri wa Ulinzi na JKT asisitiza mafunzo maalum Posted On: Friday, 15th September 2023

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Dokta Stergomena Lawrance Tax amesisitiza umuhimu wa mafunzo maalum ya kijeshi ili kuwa na jeshi imara katika kulinda mipaka ya nchi.

Ameyasema hayo wakati wa kufunga mafunzo maalum yaliyofanyika kwa ushirikiano kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania na Jeshi la Watu wa China yaliyofanyika Mapinga mkoani Pwani.

Amesema dunia ya sasa inahitaji ulinzi wenye weledi na ushirikiano wa kimataifa hivyo mafunzo hayo yamekuja wakati muafaka.

Naye Balozi wa China nchini Tanzania Mhe Chen Mingjian ameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa ushirikiano mkubwa kwa kuyakubali mafunzo maalum ya kijeshi kati ya JWTZ na Jeshi la Watu wa China.

Amesema China na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kidiplomasia kwa muda mrefu jambo ambalo limeongeza maelewano katika nyanja mbalimbali za mafunzo ya kijeshi

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea siku 5
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 1
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 1
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.