Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania leo tarehe 24 Agosti 2018 limewaaga Majenerali waliostaafu utumishi jeshini.
Sherehe za kuwaaga Majenerali hao zimefanyika katika Kambi ya Twalipo Mgulani Jijini Dar es Salaam huku zikiambatana na gwaride rasmi lililoandaliwa kwa ajili yao.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.