Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga rasmi Mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Harold Mziray (mstaafu) leo tarehe14 Agosti, 2018 katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akiambatana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo, amewaongoza Makamanda wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Maafisa, Askari na Wananchi kwa ujumla wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.