Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Idd hivi karibuni alitunuku stashahada na shahada ya uzamili katika mahafali ya tano ya Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) yaliyofanyika Chuoni hapo hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya India Admiral Sunil Lanba ambaye yuko nchini kwa ziara ya kikazi mapema leo amepokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Venance Mabeyo
Soma zaidiMaadhimisho ya siku ya Mashujaa hufanyika kila mwaka tarehe 25 Julai kuwakumbuka mashujaa waliojitolea kupigania haki na uhuru wa Taifa hili.
Soma zaidiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),linapenda kutoa tahadhari kwa umma juu ya utapeli kuhusu ajira.
Soma zaidiUjumbe kutoka Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na utawala bora watembelea Makao Makuu ya JWTZ,Upanga jijini Dar es salaam hivi karibuni.
Soma zaidiMashindano haya yalianzishwa rasmi mwaka 2014. Lengo la mashindano haya ni kudumisha mshikamano, kuvumbua na kukuza vipaji,
Soma zaidiMashindano ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF CUP) yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 26 Mei 2017 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Soma zaidiKikao hicho hufanyika kila mwaka kwa mzunguko ndani ya nchi mwananchama ambapo mwaka huu kimefanyika nchini Tanzania, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo alikuwa mwenyekiti wa kikao hicho.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.