• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Burundi afanya ziara Makao Makuu ya Jeshi.

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Burundi afanya ziara Makao Makuu ya Jeshi.

    tokea miaka 8

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Burundi Luteni Jenerali Niyongabo Prime leo Novemba 08, 2017 amefanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam, ziara hiyo imelenga kudumisha mahusiano yaliyopo baina ya Majeshi ya nchi hizi mbili.

    Soma zaidi
  • Mkuu wa Majeshi ya Visiwa vya  Comoro Kanali Youssouf Idjihadi amefanya ziara ya kikazi hapa nchini

    Mkuu wa Majeshi ya Visiwa vya Comoro Kanali Youssouf Idjihadi amefanya ziara ya kikazi hapa nchini

    tokea miaka 8

    Mkuu wa Majeshi huyo alipokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo na kisha kufanya mazungumzo ofisini kwake

    Soma zaidi
  • JWTZ limeaga miili ya marehemu Koplo Marcelino Pascal Fubusa na Praiveti Venance Moses Chiboni

    JWTZ limeaga miili ya marehemu Koplo Marcelino Pascal Fubusa na Praiveti Venance Moses Chiboni

    tokea miaka 8

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga miili ya marehemu Koplo Marcelino Pascal Fubusa na Praiveti Venance Moses Chiboni, leo tarehe 16 Octoba 2017 katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo.

    Soma zaidi
  • Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)  linasikitika kutangaza vifo vya Askari wake

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza vifo vya Askari wake

    tokea miaka 8

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza vifo vya Askari wake wawili Koplo Maselino Paschal Fabusi na Praiveti Venance Moses Chiboni, ambao walikuwa katika Ulinzi wa Amani nchini DRC.

    Soma zaidi
  • Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar awatunuku Wahitimu wa  Chuo cha Ulinzi wa Taifa

    Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar awatunuku Wahitimu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa

    tokea miaka 8

    Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Idd hivi karibuni alitunuku stashahada na shahada ya uzamili katika mahafali ya tano ya Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) yaliyofanyika Chuoni hapo hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

    Soma zaidi
  • Ziara ya Mkuu wa Majeshi ya India Admiral Sunil Lanba  nchini

    Ziara ya Mkuu wa Majeshi ya India Admiral Sunil Lanba nchini

    tokea miaka 8

    Mkuu wa Majeshi ya India Admiral Sunil Lanba ambaye yuko nchini kwa ziara ya kikazi mapema leo amepokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Venance Mabeyo

    Soma zaidi
  • Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa

    Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa

    tokea miaka 8

    Maadhimisho ya siku ya Mashujaa hufanyika kila mwaka tarehe 25 Julai kuwakumbuka mashujaa waliojitolea kupigania haki na uhuru wa Taifa hili.

    Soma zaidi
  • Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania,latoa ufafanuzi juu ya kujiunga na mafunzo ya JKT na ajira za JWTZ

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania,latoa ufafanuzi juu ya kujiunga na mafunzo ya JKT na ajira za JWTZ

    tokea miaka 8

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),linapenda kutoa tahadhari kwa umma juu ya utapeli kuhusu ajira.

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • ...
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • ›

Habari Mpya

  • Rais Samia atunuku Kamisheni

    Rais Samia atunuku Kamisheni

    tokea siku 1
  • Rais Samia ala Kiapo

    Rais Samia ala Kiapo

    tokea wiki 3
  • JWTZ Laadhimisha UN DAY Lebanon

    JWTZ Laadhimisha UN DAY Lebanon

    tokea mwezi 1
  • Jeshi kujenga Hoteli ya nyota tano

    Jeshi kujenga Hoteli ya nyota tano

    tokea mwezi 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 9
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 9
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 9
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 3
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.