Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeaga rasmi Miili ya Askari wake waliouwawa nchini DRC leo tarehe14 Desemba, 2017 katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Upanga jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewaongoza viongozi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi, Makamanda wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Maafisa na Askari wa JWTZ, Viongozi wa vyama vya kisiasa na Wananchi kwa ujumla wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu hao.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.