• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Ujumbe kutoka Jeshi la Jamhuri ya Watu wa China umemtembelea Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

Ujumbe kutoka Jeshi la Jamhuri ya Watu wa China umemtembelea Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Posted On: Wednesday, 22nd November 2017

Ujumbe kutoka Jeshi la Jamhuri ya Watu wa China ukiongozwa na Naibu Mnadhimu Mkuu Real Admiral Guan Bailin uliowasili na meli maalum ya matibabu nchini Novemba 19, 2017 leo Novemba 22 umemtembelea Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo na kufanya mazungumzo ofisini kwake.

Ugeni huo bado upo nchini kwa lengo la kutoa huduma ya afya bure kwa wananchi wa Tanzania. Huduma hizo zinatolewa ndani ya meli hiyo na madaktari kutoka China kwa kushirikiana na Madaktari wetu.

Leo ni siku ya nne tangu timu hiyo ya Madaktari kutoka China kutoa huduma na watanzania wameitikia wito.

Habari Mpya

  • Rais azindua jengo la MMUT

    Rais azindua jengo la MMUT

    tokea wiki 3
  • Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    tokea mwezi 1
  • Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    tokea mwezi 1
  • Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    tokea miezi 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 9
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 9
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 9
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 3
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.