Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo ametoa salamu za mwaka mpya kwa Wanajeshi wote nchini kupitia watendaji wa Makao Makuu ya JWTZ, Upanga jijini Dar es Salaam.
Aidha amewataka Maafisa, Askari pamoja na Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa uzalendo wa hali ya juu, utii, uhodari, ushirikiano na nidhamu ili kufikia malengo yaliokusudiwa na Taifa.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.