Meli Vita za Jeshi la Wanamaji la India zikiongozwa na Vice Admiral Abhay Karve zimewasili nchini tarehe 19 Machi 2019. Vice Admiral Karve amefanya mazungumzo na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Yakub Mohamed Makao Makuu ya Jeshi Upanga jijini Dar es Salaam.
Wakati wa ziara hiyo Vice Admiral Karve atatembelea sehemu mbalimbali hapa nchini kwa ajili ya kubadilishana uzoefu wa kimafunzo na utalii.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.