Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali James Mwakibolwa (Kushoto) akimkabidhi zawadi ya nembo ya JWTZ ndugu Leopold Shayo kwa niaba ya ujumbe kutoka Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na utawala bora (Hawapo pichani) walipotembelea Makao Makuu ya JWTZ,Upanga jijini Dar es salaam hivi karibuni.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.