Maadhimisho haya yamefanyika leo tarehe 25 Julai 2017 nchi nzima kwa kutoa huduma za kijamii kama vile kuweka mazingira katika hali ya usafi kwa kufanya usafi katika sehemu mbaliimbali, lakini pia kutoa huduma ya tiba bure katika vituo vyote vya afya vya JWTZ na viwanja vya mnazi mmoja vilivyoko jijini Dar es salaam . Huduma hizo ni elimu ya ushauri wa afya ya mama na mtoto, ushauri na upimaji wa virusi vya ukimwi kwa hiari, uchangiaji wa damu salama, elimu ya afya ya kinywa na meno pamoja na huduma nyinginezo
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.