Mkutano wa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu ushirikiano katika Nyanja ya ulinzi umemalizika tarehe 4 Mei, 2018 Jijini Arusha.
Mawaziri wa Ulinzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Wakuu wa Majeshi pamoja na wadau wengine wamejadili masuala mbalimbali ili kudumisha ushirikiano katika Nyanja ya ulinzi.
Mkutano ulianza Aprili 30, 2018 hadi Mei 04, 2018 huku nchi wanachama ambao ni Burundi, Kenya, Rwanda, Sudani Kusini, Tanzania na Uganda wakishiriki.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.