Mkuu wa Jeshi la Anga la Zimbabwe luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri atembelea Makao Makuu ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Octoba 2016, wakati wa ziara ya kikazi nchini Tanzania. Luteni Jenerali Penance Shiri alikutana na Mwenyeji wake Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange .
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.