Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo leo tarehe 06 Februari 2018 amekabidhi bendera ya Taifa kwa Timu ya Golf Lugalo inayokwenda kushiriki mashindano ya wazi ya mchezo wa Golf nchini Nigeria.
Hafla ya kukabidhi bendera imefanyika Makao Makuu ya Jeshi Upanga jijini Dar es Salaam
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.