Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 15 Februari 2018 amemuapisha Luteni Jenerali Yakubu Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ katika hafla iliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Hapo awali Luteni Jenerali Yakubu Mohamed alikuwa Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Taifa (NDC) kilichopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.