Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli azindua Chuo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani leo tarehe 06 Februari 2018.
Chuo hicho kimejengwa kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China ambapo Rais na Amiri Jeshi Mkuu ameishukuru Serikali ya China na kuwaita marafiki wa kweli kwani urafiki huo ulianza tangu enzi za waasisi wa mataifa haya.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.