Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli atoa Kamisheni kwa Maafisa wapya 192 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania pamoja na Maafisa kadhaa kutoka nchi Marafiki baada ya kula kiapo cha Utii katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Aidha, Rais Magufuli amewataka maafisa na askari kuendelea kuwa na nidhamu ya hali juu na kufanya kazi kwa weledi.
Sherehe hizo za Kamisheni zilihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.