From: Friday, 12th January 2024
To: Friday, 12th January 2024
Location: Zanzibar, Tanzania
Sherehe ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hufanyika kila mwaka tarehe 12,January. Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalitokea mwaka 1964 kwa kumuondoa madarakani Sultani wa Zanzibar.
Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.