• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Bendera ya Taifa yapeperushwa vema Nchini Rwanda

Bendera ya Taifa yapeperushwa vema Nchini Rwanda Posted On: Monday, 24th June 2024

Kikundi cha Maafisa naAskari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki "FTX Ushirikiano Imara 2024" lililofanyika nchini Rwanda,kimekabidhi bendera ya taifa mara baada ya kurejea nchini tarehe 23 Juni 2024.

Akizungumzia kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob John Mkunda, Mkuu wa Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Said Nkambiamewataka Maafisa na Askari walioshiriki zoezi hilo kutumia vizuri mafunzo waliyoipata kwenye zoezi hilopindi wanapotakiwa kukabiliana na matishio ya kiusalama na Majanga mbalimbali yanayoweza kutokea nchini, nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

Naye Kamanda Kikosi cha JWTZ wa zoezi hilo Luteni Kanali Benard Mongela amemshukuru Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob John Mkunda kwa kuwezesha kufanyika kwa zoezi hilo kwani washiriki wamepata fursa ya kubadilishana uzoefu na wanajeshi wa EAC katika nyanja mbalimbali kama vile Ulinzi wa Amani, kukabiliana na matishio ya Ugaidi, Uharamia na Majanga ya kibinadamu.

Zoezi Ushirikiano Imara 2024 lilifanyika kuanzia tarehe 6 hadi 23 Juni 2024. Bendera ya Taifa yapeperushwa vema Nchini Rwanda.

Kikundi cha Maafisa naAskari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki "FTX Ushirikiano Imara 2024" lililofanyika nchini Rwanda,kimekabidhi bendera ya taifa mara baada ya kurejea nchini tarehe 23 Juni 2024.

Akizungumzia kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob John Mkunda, Mkuu wa Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Said Nkambiamewataka Maafisa na Askari walioshiriki zoezi hilo kutumia vizuri mafunzo waliyoipata kwenye zoezi hilopindi wanapotakiwa kukabiliana na matishio ya kiusalama na Majanga mbalimbali yanayoweza kutokea nchini, nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

Naye Kamanda Kikosi cha JWTZ wa zoezi hilo Luteni Kanali Benard Mongela amemshukuru Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob John Mkunda kwa kuwezesha kufanyika kwa zoezi hilo kwani washiriki wamepata fursa ya kubadilishana uzoefu na wanajeshi wa EAC katika nyanja mbalimbali kama vile Ulinzi wa Amani, kukabiliana na matishio ya Ugaidi, Uharamia na Majanga ya kibinadamu.

Zoezi Ushirikiano Imara 2024 lilifanyika kuanzia tarehe 6 hadi 23 Juni 2024.

Habari Mpya

  • ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    ​Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

    tokea siku 6
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea wiki 1
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 1
  • ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    ​Jenerali Mkunda Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

    tokea wiki 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 8
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 8
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 8
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 2
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.