• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza vifo vya Askari wake

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)  linasikitika kutangaza vifo vya Askari wake Posted On: Wednesday, 11th October 2017

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza vifo vya Askari wake wawili Koplo Maselino Paschal Fabusi na Praiveti Venance Moses Chiboni, ambao walikuwa katika Ulinzi wa Amani nchini DRC.

Askari hao wamefariki baada ya kushambuliwa kwa kupigwa risasi na kundi la waasi tukio ambalo limetokea tarehe 09 Octoba 2017 umbali wa kilomita 24 mashariki mwa mji wa Beni. Majeshi yetu yamefanikiwa kuwarudisha nyuma waasi hao na kudhibiti eneo hilo.

Kufuatia shambulizi hilo Umoja wa Mataifa umeunda Bodi ya Uchunguzi kuchunguza tukio hilo. Aidha, Maafisa na Askari wa JWTZ wanaendelea kutekeleza majukumu yao katika Operesheni hiyo.

Umoja wa Mataifa unaandaa utaratibu wa kuleta miili ya marehemu nchini. Mtajulishwa taratibu za mapokezi, kuaga miili ya marehemu hao na mazishi.

Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amina.

Habari Mpya

  • Mkutano wa Wakuu wa Rasilimali Watu wa Jeshi wa Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC).

    Mkutano wa Wakuu wa Rasilimali Watu wa Jeshi wa Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC).

    tokea wiki 2
  • Zoezi KAA TAYARI lafungwa

    Zoezi KAA TAYARI lafungwa

    tokea wiki 2
  • Mnadhimu Mkuu JWTZ Afungua Kikao cha Wakuu wa Tiba kwa Majeshi nchi za SADC

    Mnadhimu Mkuu JWTZ Afungua Kikao cha Wakuu wa Tiba kwa Majeshi nchi za SADC

    tokea mwezi 1
  • NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

    tokea miezi 2
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 6
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 6
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 6
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miezi 8
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.