• Maswali
  • Wasiliana Nasi
  • Kiswahili
  • English

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira,Dhima na Majukumu
  • Kujiunga na JWTZ
  • Kamandi
    • Kamandi ya Jeshi la Wanamaji
    • Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu
    • Kamandi ya Jeshi la Anga
    • Jeshi la Kujenga Taifa
    • Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi
    • Kamandi ya Jeshi la Akiba
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Michezo
    • Viwanda
  • Oparesheni
    • Endelevu
    • Iliyokamilika
  • Kumbukumbu
    • Video
    • Picha
    • Hotuba

Habari

  • Jenerali Mkunda akutana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

    Jenerali Mkunda akutana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

    tokea miezi 11

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abass ofisini kwake na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama Leo tarehe 27 Februari 2025.

    Soma zaidi
  • Mnadhimu Mkuu asisitiza ushirikiano madhubuti EAC

    Mnadhimu Mkuu asisitiza ushirikiano madhubuti EAC

    tokea miezi 11

    Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Othman amesisitiza umuhimu wa kuwa na umoja na ushirikiano baina ya wanajumuiya hasa katika nyanja za kiteknolojia ili kukuza viwanda vya nchi wanachama, kuleta ushindani kimataifa

    Soma zaidi
  • Uhusiano kati ya Tanzania na Algeria Umeimarika- Meja Jenerali Nkambi

    Uhusiano kati ya Tanzania na Algeria Umeimarika- Meja Jenerali Nkambi

    tokea miezi 11

    Meja Jenerali Nkambi apokea ujumbe kutoka Jeshi la Algeria unaoongozwa na Brigedia Jenerali Zegrour Sayed Hisham Makao Makuu ya Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi

    Soma zaidi
  • Mhe. Sillo afungua kikao cha Wakuu wa Viwanda

    Mhe. Sillo afungua kikao cha Wakuu wa Viwanda

    tokea miezi 11

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Daniel Baran Sillo amefungua kikao cha Wakuu wa Viwanda na Mashirika ya Kijeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Soma zaidi
  • JWTZ, Marekani wahitimisha zoezi "CUTLASS EXPRESS"

    JWTZ, Marekani wahitimisha zoezi "CUTLASS EXPRESS"

    tokea mwaka 1

    JWTZ kwa kushirikiana na Jeshi la Marekani pamoja na Majeshi ya Mataifa mengine 13 wamehitimisha Zoezi la pamoja la Kijeshi la Majini "CUTLASS EXPRESS"

    Soma zaidi
  • Meja Jenerali Gaguti azungumza na RC Kagera

    Meja Jenerali Gaguti azungumza na RC Kagera

    tokea mwaka 1

    Mkuu wa Tawi la Utumishi Jeshini Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mheshimiwa Fatma Mwasa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera tarehe 20 Februari 2025.

    Soma zaidi
  • NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

    tokea mwaka 1

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya kidato cha nne na kidato cha sita.

    Soma zaidi
  • Jenerali Mkunda atembelea Meli Tiba

    Jenerali Mkunda atembelea Meli Tiba

    tokea mwaka 1

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametembelea Meli Tiba ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Peace Ark ili kuona matibabu yanavyofanyika.

    Soma zaidi
  • ‹
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • ...
  • 34
  • 35
  • ›

Habari Mpya

  • Rais azindua jengo la MMUT

    Rais azindua jengo la MMUT

    tokea masaa 2
  • Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    Jenerali Mkunda Aweka Jiwe la Msingi Jeshi la Akiba

    tokea wiki 1
  • Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    Askari Wapya JWTZ wahitimu mafunzo

    tokea wiki 3
  • Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri Atembelea Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    tokea mwezi 1
  • Zaidi

Nifanyeje

  • Utaratibu wa kujiunga na JWTZ tokea miaka 9
  • Majukumu ya Msingi ya JWTZ tokea miaka 9
  • Wakuu wa Majeshi waliopita JWTZ tokea miaka 9
  • Wanadhimu Wakuu waliopita JWTZ tokea miaka 3
  • Zaidi

Wasiliana Nasi

Tanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz

Kurasa za Karibu

  • Marais walioongoza Tanzania
  • Tangazo kwa vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2016
  • Taarifa kuhusu vijana kujiunga na JKT

Tovuti Mashuhuri

  • Shirika la Uzalishaji Mali - SUMAJKT
  • Tovuti ya Ikulu
  • Jeshi la Kujenga Taifa
  • Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa
  • Chuo cha Ulinzi wa Taifa - Tanzania

Jarida la Ulinzi

Zaidi

Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.