Jenerali Jacob John Mkunda amewavisha nishani Maafisa na Askari wa Vikosi vilivyoko Kanda ya Dar es salaam na Pwani kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi amewataka Maafisa na Askari wa JWTZ, Vyombo vya Usalama pamoja na Watumishi kutoka Taasisi za Serikali kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kupeperusha vyema bendera ya Tanzania.
Soma zaidiMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amelipongeza Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM) kwa kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa CISM.
Soma zaidiWaziri wa Ulinzi na JKT Mheshimiwa Dkt Stergomena Tax amezindua bomu baridi lenye uwezo mkubwa wa kutawanya makundi ya Tembo yanayovamia makazi ya watu
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Usalama wa Jeshi la India, Luteni Jenerali Dokta Dinesh Singh Rana ofisini kwake, Upanga Jijini Dar Es Salaam.
Soma zaidiMnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Salum Haji Othman amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM), ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Baraza hilo,Navy Captain Robert Recchie Upanga, Jijini Dar es Salaam .
Soma zaidiMkutano wa Wakuu wa Usalama na Utambuzi wa Afrika na Marekani umefunguliwa rasmi tarehe 01 May 24 jijini Dar es Salaam, kujadili mambo mbalimbali likiwemo suala la ugaidi Afrika na Duniani kwa ujumla.
Soma zaidiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amefanya ziara na kutembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi inayojengwa Msalato Jijini Dodoma.
Soma zaidiTanzania People's Defence Forces,
P.O.Box 194 Dodoma,
Street : Miyuji, Msalato
Fax : +255 26 2962123
Tel : +255 737 962 064
E-mail : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Haki zote zimehifadhiwa. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.